Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh!!!
Na tui na stamina ya maana. Kazi njema[emoji124]Kazi kazini mkuu[emoji23]
Na tui na stamina ya maana. Kazi njema[emoji124]
Mboga ya kwenye frying pan [emoji505] imenitoa udenda
Mamaeee walahii[emoji8][emoji12]Kienyeji enyeji tu, karibuni.View attachment 754676View attachment 754678
Hizo nyama kama kitimotoKienyeji enyeji tu, karibuni.View attachment 754676View attachment 754678
Mkuu sio vizuri ujue kutamanishana
Hiyo pembeni ni chachandu? Nimetamani
Mkuu sio vizuri ujue kutamanishana
Chachandu ina pilipili eeh? Hii haina ni sauce tu ya nyanya, thomu, binzari, ndimu na chumvi.Hiyo pembeni ni chachandu? Nimetamani