Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Huu Uzi unatakiwa uchangamke Asubuhi subuhi namna ile [emoji116]
IMG_20180926_083215.jpg
 
Pishi jipya hili nini??
Labda kwako mkuu lkn sio jipya
Unachemsha tambi na chumvi kidogo, zikishaiva unaepua na kuzichuja alafu unachukua frying pan unaweka mafuta ya kupikia au blueband kiasi, unaweka jikoni. Then unaweka tambi zako unakatia na kitunguu, hoho, karoti kwa juu (kama unapenda lkn) kisha unaweka mayai uliyokwisha andaa (ulipovunja na kupiga piga kwny bakuli)

Then utakuwa unageuza geuza mpaka yakauke vzr then voila ready to eat [emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom