Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Mara nyengine kizur kula na mwenzako.Mikocheni dear
Ule na mim bas.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyengine kizur kula na mwenzako.Mikocheni dear
Nimeona mmetishaa...mpe hi huyo mtani pembeni hapo[emoji12]Hapa nilipo kwa mwalabu ndo tumekula hivyo
Mara nyengine kizur kula na mwenzako.
Ule na mim bas.
Nimeona mmetishaa...mpe hi huyo mtani pembeni hapo[emoji12]
Ahsante.Karibu
Shiba kwa imani! [emoji23][emoji23][emoji23]
Alaaaa[emoji39][emoji39][emoji39]
Hahaha hana akili huyo..kwanza nasikiaga ni yanga damu kule simba kazi tu [emoji23]Nitampa.. na yeye kavaa Yanga leo.. hahahaaa
Hahaha hana akili huyo..kwanza nasikiaga ni yanga damu kule simba kazi tu [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haitak Yanga kabisa.. alishawahi kuweka viatu vya baba ake kwenye maji kisa anaenda kwenye mechi ya Simba na Yanga
Weekend sio mbayaRukhsa kujiramba.View attachment 912969View attachment 912970
Weekend hii yakuboeka tu.Weekend sio mbaya
Unaboekaje kwa vyakula vzr hvyoWeekend hii yakuboeka tu.
Aisee...video haijahusika kwel hapoHapa nilipo kwa mwalabu ndo tumekula hivyo
japo ni mwezi tangu hii post, ila naomba kufahamishwa wapi hizo broccoli zinapatipaka, iwe jijini Dar au mkoani