mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Huu uzi haunifai leo ht chai sijanywa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pilipili hiyo..ina nazi embe bichi thomu na chumvi.
Nikionaga ID yako nakumbukaga balaa fulani uliloletaga kwenye uzi mmoja hivi..Anyway ngoja tuenjoy misosiUnavisaga tu?
Nifundishe mwalimu wangu
Nikionaga ID yako nakumbukaga balaa fulani uliloletaga kwenye uzi mmoja hivi..Anyway ngoja tuenjoy misosi
Mama yangu! ninavyo penda msosi wa viazi viive hadi vipondeke! kanyama, hoho, karoti , kitunguu na royco! hatareeeee usiweke nyanya mwanawane kata kachubali ukitaka na matunda.
Mama yangu! ninavyo penda msosi wa viazi viive hadi vipondeke! kanyama, hoho, karoti , kitunguu na royco! hatareeeee usiweke nyanya mwanawane kata kachubali ukitaka na matunda.
Swadaktaaaa
Raha ya pilau,birian,wali maharage ni kula kwenye mkeka na ule kwa mkono.
Kijiko tupa kule
Karibu sanaNakuja wa mkoani utafurahi tu
Unanikumbusha enzi za shulen kisutu pale kwa mwarabu kachori bila chatne hatununui
Vyote unakula mtu mmoja [emoji851]Chagua kitakachokufaa kisha kile kwa imaniView attachment 957954View attachment 957955View attachment 957956
Aisee hii mambo huwa naipenda sana,naweza kula hivi hta siku tatu mfululizo ati!Alamsiki View attachment 958430
Aisee sasa si utanenepa sanaAisee hii mambo huwa naipenda sana,naweza kula hivi hta siku tatu mfululizo ati!
Hii uipatte na bagia za kunde[emoji39][emoji39][emoji39]