ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,120
- 5,352
Ukipata blender ukawa unatengeneza kitu fresh itakuwa vizuri zaidiSasa hivi ni mwendo kama wa kwa mzee baba magogoni.
Mwendo wa juice na pipi[emoji1] [emoji1] [emoji1] View attachment 963604
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata blender ukawa unatengeneza kitu fresh itakuwa vizuri zaidiSasa hivi ni mwendo kama wa kwa mzee baba magogoni.
Mwendo wa juice na pipi[emoji1] [emoji1] [emoji1] View attachment 963604
Daah miss Mungu anakuona ujue
Ni kweli kabsa boss wangu..!!Ukipata blender ukawa unatengeneza kitu fresh itakuwa vizuri zaidi
Kije mara ngapi..??[emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subiri kitambi
Kwani huko kwenu wenzetu kila siku sikukuu[emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] madogo hukuona ugali maharage wiki yote hiiKwani huko kwenu wenzetu kila siku sikukuu[emoji85][emoji85][emoji85]
Na kweliSpesho oda ya Jr.. . Loh[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubir ulipe [emoji85][emoji85]Dah.. [emoji39][emoji39][emoji39]
Hahahaaa tayar[emoji23][emoji23][emoji23]washa Bluetooth
Sawa bossSubiri muamalau utasoma muda si mfupi[emoji23][emoji23]
Kwa kweli sukuona mamdogo mi naona kila siku waleta vitu vitamu vitamu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] madogo hukuona ugali maharage wiki yote hii
Bas wewe ukiona post ya ugali maharage unaipita ndo maana hujaona [emoji23][emoji23]Kwa kweli sukuona mamdogo mi naona kila siku waleta vitu vitamu vitamu tu