Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Tatizo la uzi huu wachangiaji wote wanakula vyakula vya kisasa. Sijaona vyakula vya asili vya makabila yetu humu.
Ndio maana watu hatuishi presha,kisukari mara nguvu za jamii! Khaaa jamani tule hata magimbi, mbatata, kande, senene jamani nao ni vyakula, then dona sijaiona umu

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Umeniwahi..Lol.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
.
IMG-20181212-WA0009.jpeg

Breakfast of the dwellers [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom