Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

0F4D2298-9A5F-4571-85AE-48394C044E22.jpeg


Hayo ni maakuuu..... 😋😋😋
Hayahitaji chumvi wala pilipili
 
Wapi ntapata mabumunda, loshoro na kitalolo Dar.
Au mwenye recipe anitupie tafadhali, na crave hizi kitu mwenzenu nisaidieni nisije changanyikiwa au kuwa irate.
Jinsi ya kupika bumunda
Recipe
Unga wa Ngano au ndizi kikombe kimoja
Ndizi mbivu mbili
Jani la mgomba
Mkaa

Mapishi
Koroga Unga wa Ngano au wa mahindiNa ndizi
Ukishapata hilo libonge
Lisokotee kwenye jani la mgomba lifunge vizuri kabisa
Weka mkaa juu Na chini kwa moto wa kati kwa masaa matatu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom