Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

EB77824C-EB34-4D02-AF57-156AF43F3896.jpeg
 
Jirani utapitwa na Superbowl si unajua wametuletea mjini kumekuwa bize...

Weeee....mie sio wa kupitwa na hiyo kitu aisee!

Hapa nilipo naombea tu hii winter weather advisory iishe haraka ili mambo yarejee kuwa kawaida.

Can’t wait for Sunday...
 
Weeee....mie sio wa kupitwa na hiyo kitu aisee!

Hapa nilipo naombea tu hii winter weather advisory iishe haraka ili mambo yarejee kuwa kawaida.

Can’t wait for Sunday...

Ohooo nimeona unarusha menu zetu nikajua bado uko kwa anko Magu.
Jirani weather hata isikusumbue, snow ya 2 hrs haiwezi kuzuia kitu.
 
Back
Top Bottom