Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa wengi waliomo humu hata mama zao walikuwa hawajaolewa.
Usituzingue, maziwa yako wapi tuchanganye Juice ya tendeAnayejua hiki Ni kitu gani asemeView attachment 1063803
Zimeshakaangwa? Ndio mambo yangu hayaPumpkin seedsView attachment 1063805
Kuna bomu naona wataka kuunda,[emoji23][emoji23] naona kuna karanga na mbegu za maboga kwa picha ya chini.Anayejua hiki Ni kitu gani asemeView attachment 1063803
We jamaa nimekukubali sanaUsituzingue, maziwa yako wapi tuchanganye Juice ya tende
ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
Huu wali vipi mkuu, amepika mwanaume nini ?HAPA WALI TUView attachment 1062366
Naaam, huu ndiyo wali sasa. Cheki punje zilivyojichambua vizuri.
Noma sanaaa, nikipikiwaga hivi huwa nafurahi kweli.View attachment 1063978
Pilau Mbuzi.
Umetisha sana kamanda.
I miss this so much!!!!!!!
![]()
![]()
[/QPUOTE]
Presentation siyo nzuri ila ni balanced diet.