cadey
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 1,455
- 4,419
[emoji107][emoji107][emoji107]
Wenye tamaduni zao wanajilamba sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji107][emoji107][emoji107]
Asante mkuuNtumie address yako nikutumie uber eats
Kumbe we ni mhaya? Aiseee ndo maana...sasa mbona naona mixer funza mamaWenye tamaduni zao wanajilamba sana
Kweli,kitakuja kipikipiki posts chenye box LA msosi nyumaAsante mkuu
hapana boss mimi sio mhaya,Africa hasa west wanakula sana hayo mafunza na wanafuga pia kibiasharaKumbe we ni mhaya? Aiseee ndo maana...sasa mbona naona mixer funza mama
Samahani sana tuheshimiane,usituharibie uzi wetuView attachment 1143814j hiki ni chakula aina gani ni kitamu balaa
Shukrani kwa hili piaKweli,kitakuja kipikipiki posts chenye box LA msosi nyuma
Unatuaribia uzi GF YourselfView attachment 1143814j hiki ni chakula aina gani ni kitamu balaa
Mfano wapi??Wenye tamaduni zao wanajilamba sana
Ok, sawa boss Ladyhapana boss mimi sio mhaya,Africa hasa west wanakula sana hayo mafunza na wanafuga pia kibiashara
😂😂😂😂😂 ukuje hapa acha kukimbia,upate maprotein kama yoteLeo [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji125][emoji125][emoji44][emoji125][emoji44][emoji44][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Namibia,BotswanaMfano wapi??
Au hawa ndo senene??
Doooooh maspta sapta ya kuutoa ulimi pangoni[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39].... Umenijaza njaa...
Mbona unaharibu uzi[emoji58]Namibia,Botswana
Sio senene ni funza View attachment 1143827
Vipi hapa nakujaza nini?Doooooh maspta sapta ya kuutoa ulimi pangoni[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39].... Umenijaza njaa...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Vipi hapa nakujaza nini?View attachment 1143872
Takununulia. Jioni pizza[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hii sasa komesha... Unanijaza volcano[emoji85][emoji85]