Jamani, kwa nini?[emoji23][emoji23]Nilikua nspita nkakuona karoho kakafunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani, kwa nini?[emoji23][emoji23]Nilikua nspita nkakuona karoho kakafunda
Mie na Upishi mbalimbali.... Nisaidiee tu nipe beiiHapana,kama una oven nikuelekeze uwe unatengeneza ni rahisi tuu
Okay,nitakusaidia ,pizza moja tuu siwezi kukuuzia utalipia tuu deliveryMie na Upishi mbalimbali.... Nisaidiee tu nipe beii
but sio vzur nakusumbua bure tu!!🙁Okay,nitakusaidia ,pizza moja tuu siwezi kukuuzia utalipia tuu delivery
Haina shida,na mimi pia mpaka nipate nafasi,ni pm unambie unakaa wapibut sio vzur nakusumbua bure tu!!🙁
tuko hapa tunasubiri uivishe.
tuko hapa tunasubiri uivishe.
PoleeSijui kwa nn yani
Naomba niwe mgeni wako[emoji39][emoji39][emoji39]
Mambo yangu haya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Usiage subiri tuzile kwanza.Mchana Mwema! View attachment 1154875
Karibu sana. [emoji38][emoji38]Naomba niwe mgeni wako[emoji39][emoji39][emoji39]
Hivi hizi si ndiyo ndefu sana. Unakula hadi zinakaba kwenye koo[emoji23][emoji23][emoji23]. Zinavutia kweli.[emoji39] View attachment 1154893