Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_5748.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
@cadey hicho kiazi unapikaje?

Nimependa chakula.....
Una kaanga viazi au ku vi bake baadae utavichanga/ vuruga pamoja kwenye sauce uliyopika kwa kutumia vitunguu,nyanya,ginger&garlic na mboga mboga zingine na viungo kwa chaguo lako
 
Back
Top Bottom