Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Tuko busy kidogo na mambo ya diet![emoji847][emoji847][emoji847]
Weight%20loss.jpeg
 
[emoji39]aisee , nitaitafuta hii


Sent from my iPhone using JamiiForums
mimi siku nikitafuta mke, kigezo kitakua kwenye haya mambo, sura nitavumilia tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
hizo sambusa sasa[emoji39]


Sent from my iPhone using JamiiForums
😈😈😈 kwa hiyo wewe ni mwanaume 😇😇, ndo mana wanawake wengi siku hizi wanalalamika hamuwatoshelezi, mnakula vyakula vya mamiss unategemea nini. 🤒🤒🤒 wake up
 
[emoji48][emoji48][emoji48] kwa hiyo wewe ni mwanaume [emoji56][emoji56], ndo mana wanawake wengi siku hizi wanalalamika hamuwatoshelezi, mnakula vyakula vya mamiss unategemea nini. [emoji855][emoji855][emoji855] wake up

you again


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom