Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Asubuhi ya kuwa busy jikoni![emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1349144
A2E0A455-B592-4F24-A12A-70929270EB5F.jpeg
 
Naam.
Cc Mama mkwe farkhina.
Halafu taarifa zako za kupeleka posa kwao binti wa Kidigo tunazo. Mashuhuda wamekuona ukipanda Ratco na mshenga wako Mzee Kondo wa Magomeni Mikumi, na breki ya mwisho umeonekana Machui Pangani.

Nakwambia mwisho wako Chumbe

Sent using Jamii Forums mobile app

Alaaaa kumbe? THOMASS SANKARA utashinda njaa mwaka huku mana mkwe wangu nilikua nikupikie chapati na sambusa.
 
Back
Top Bottom