amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Ubwabwa wa kufunikia.Ni kweli kabisa mkate wa ufuta mwenzie mkaa..
Mimi wali wa rice cooker siuwezi kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubwabwa wa kufunikia.Ni kweli kabisa mkate wa ufuta mwenzie mkaa..
Mimi wali wa rice cooker siuwezi kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mboga ya serikali ikiwa inaiva jikoni nimeunga na karanga. View attachment 1352038
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mlo mmoja hapo? Jamani mimi hiyo nyama nyumbani kwangu nakula siku tatu
Ndio mlo mmoja hapo? Jamani mimi hiyo nyama nyumbani kwangu nakula siku tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilie na ugali au wali?[emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1352375
Kama wapo kwa nini wasiliwe![emoji4][emoji4][emoji4]Wewe kila siku unakula kuku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe farkhina karibu
Ila tafadhali platozoom usifikeView attachment 1352439
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]