platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Mkwe hicho kimepikwa na yule Mwanamke wa Kidigo! Mchoyo kweliMkwe me icho hakintoshi si unajua situation [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkwe hicho kimepikwa na yule Mwanamke wa Kidigo! Mchoyo kweliMkwe me icho hakintoshi si unajua situation [emoji23]
Naona inaitafuta "COVID19"[emoji2817][emoji2817][emoji2817]Asubuhi hii nimeandaa supu ya popo, karibuni wote![emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1366808
Sio kweli chief, kwa hii nakukatalia, ningeanza kutoka mimi ndizi za nazi nazipenda kinoma, na samaki wiki moja mara mbili tu huwa sipiki samaki.Hii kwa mwanaume ukila kama week mfululizo lazima utokee tako....watchout guys
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wivu tu...[emoji1787][emoji1787][emoji23]!!Mkwe hicho kimepikwa na yule Mwanamke wa Kidigo! Mchoyo kweli
😄 😄 😄 nani kasema?Hii kwa mwanaume ukila kama week mfululizo lazima utokee tako....watchout guys
Sent using Jamii Forums mobile app
ila wewe🙁Yule jamaa mwenye wivu platozoom njoo huku![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1359323
Dada hawataki nile kuku!ila wewe🙁
tatzo mchoyoDada hawataki nile kuku!
Waiter bia moja please![emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1369609
Halafu haya ni yale mambo yako sasa![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
inaonekana nzuri sana hii, huwa inaandaliwaje?