Mtalebani Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 12, 2020
- 547
- 632
Mkuu kuhusu kupikwa sio mjuzi sana, Mimi najua kula tu.INAPIKWAJE?
Kwa ufahamu wangu mdogo, Hyo Batter Naan inakuwa ni ile mikate ya kuokwa, inawekwa kwenye majiko yale ya udongo after 2 minutes inakuwa tayari then wanapakaa Butter.
Kuhusu Butter Chicken, Inakuwa kama rosti la kuku but sio kama zile rosti tulizozoea. Hii ni tamu zaidi.
DADA farkhina Labda atakuwa anaujuzi zaidi.