Dropout
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 641
- 533
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
za wahindi ndio nimetembelea naishia kuagiza kitu kingineLabda hapo ulipoenda hawapiki vizuri, jaribu sana sana Restaurants za Wahindi au Wapakistan ndo wanaozijulia sana
ivi haulagi nyama na chakula kama wali ugali na chips mwenzetu 😄Nimechoma maini kidogo hapa[emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1395773
wakati ndio mahabbah hayo jamani.Yes! Anasema namuaibisha, ataonekana hajui kupika.
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Hakuna chakula ninachokiogopa kama wali, chips, pilau na sembe!h
ivi haulagi nyama na chakula kama wali ugali na chips mwenzetu [emoji1]
Watu wanatafuta hizo nafasi hawazipatiwakati ndio mahabbah hayo jamani.
[emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1399214
[emoji39][emoji39][emoji108][emoji108][emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1399214
kisa ninHakuna chakula ninachokiogopa kama wali, chips, pilau na sembe!
Wewe huwa unakula chakula ni chakula bila ya kuangalia kitakusaidia nini kiafya?kisa nin
mimi hua nazingatia saana healthy eating lakini sio kwa 100% ila kuna zile siku unakutana na chips/birian ya selebonge lazma nibadlishe maamuzi 😄 japo mara chache.Wewe huwa unakula chakula ni chakula bila ya kuangalia kitakusaidia nini kiafya?
[emoji39][emoji39][emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1399907
Sasa hivi unatumia website za gif. UmetishaLeo nimepika mboga pochopocho[emoji18] View attachment 1398088
Aisee watu mnajipenda hatari hapo ata usipo nawa mikono sijui na nn corona upati..Kiafya zaidi.
View attachment 1401809