Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hisani ya google ila hawa majamaa hawa hahaha eti na vi-rosemary hapo juu vya kudanganyia toto.Hii mihogo ni 5 star by just looking on it
Juzi nikapika samaki acha nizidishe fish masala wakati wa kumkaanga mbaya zaidi nikapika wali chumvi ikazidi. Haha ilibidi Nile tu maana sikuwa na ujannja.[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1404028
Hii imekaa vizuri![emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1404946
I will try this[emoji39]
Sio mtamu wala nini 😛[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1404946
Najua unamtamani![emoji12][emoji12][emoji12]Sio mtamu wala nini 😛