Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utumbo ule wewe nyama kala nani huu msemo ulinifanya nisile utumbo maishani [emoji16][emoji16]
Hakuna kitu kinanishinda kula kama utumbo ukiwa haujachanganywa na mboga ya majani.
Halafu raha na ladha ya utumbo lazima unuke kidogo naniliu[emoji23]Utumbo ule wewe nyama kala nani huu msemo ulinifanya nisile utumbo maishani [emoji16][emoji16]
Ongeza basi chakula unenepe kidogo Saint Anne!!!
Am kidding
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ongeza basi chakula unenepe kidogo Saint Anne!!!
Am kidding