dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Hata mimi imenivutia kula chakula hichoNimependa hiyo sahan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi imenivutia kula chakula hichoNimependa hiyo sahan
Kumbe JF kuna marafiki wanaopendana sana![emoji847][emoji847][emoji847]
Eid Mubaraka msomali...kesho tunakula nini?Nile wa muhogo au mtama?
wapo wengii saana, fanya utafute 🤗Kumbe JF kuna marafiki wanaopendana sana![emoji847][emoji847][emoji847]
😋😋Leo nilikuwa busy kufuturisha![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1457686
Mimi nina kaka wanne ila sina dada hata mmoja. Sasa hivi natafuta dada angalao wawili wanatosha[emoji847][emoji847][emoji847]wapo wengii saana, wafanya utafute [emoji847]
Dada unayemtafuta unataka awe na vigezo gani, kwanza? 😅Mimi nina kaka wanne ila sina dada hata mmoja. Sasa hivi natafuta dada angalao wawili wanatosha[emoji847][emoji847][emoji847]
[emoji125][emoji125][emoji125]Dada unayemtafuta unataka awe na vigezo gani, kwanza? [emoji28]
Sana[emoji23][emoji23]
DoteeLeo nilikuwa busy kufuturisha![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1457686
😅 😅Nilimfungia asipate korona, kesho namuachia aende Disko😂Sana[emoji23][emoji23]
KD sijui hata umemficha wapi,haonekani kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Eid Mubaraka msomali...kesho tunakula nini?
Uko vizuri sana 🙂🙂