Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko safarini boss.Nimemiss mapishi ya Mama wawili!- amu[emoji125][emoji125][emoji125]
Mimi nilikumiss sana.View attachment 1460802
Mpo jamani nimewamisss... Haya kuleni kwa macho biriani ya prawns [emoji494] hiyo Mpishi mwenyewe
Mimi nilikumiss sana.
Unaniinspire mno upande wa vyombo wewe na da Tima kule mapishi fb.
Siku nyingi sana naachaje kukujua sasa kule niko active na huku pia.[emoji23][emoji23][emoji23] ushanijua Eeh Shukran love [emoji177]
Nimetamani hiyo mboga ya majani![emoji39]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1460802
Mpo jamani nimewamisss... Haya kuleni kwa macho biriani ya prawns [emoji494] hiyo Mpishi mwenyewe
Mkuu nimemeza mate debe![emoji39][emoji39][emoji39]
Wewe ndugu nimekumiss balaa!!nilikuwa na vitu vyangu vya kukuuliza nikawa sikuoniView attachment 1461093
Jihogo na chuzi la chukuchuku la jodari
Wewe ndugu nimekumiss balaa!!nilikuwa na vitu vyangu vya kukuuliza nikawa sikuoni