Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yap si naonaga pichaza wanaoishi huko kuku zilivyononaa na kujaanyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni mboga ya ugali?Karibuni sanaView attachment 1477439
Sio mboga baba huo ni msosi wa asiliNi mboga ya ugali?
Naunga mkono hoja hapa...[emoji41]
Sorry [emoji120] jirani, hii comment ilijiandika usiku nikiwa mionzi [emoji481] pale Reef One ...[emoji851]Jirani unaunga mkono hoja kivipi sasa [emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana.
Dah, tukaribishane siku nyingine basi Rafiki
Dah, tukaribishane siku nyingine basi Rafiki
Hahahaha, Rafiki hivyo vya Asili ndio vyenyewe sasa,we nikaribishe tu , tena hapo umesahau magimbi Rafikirafiki utakula boga?viazi vitamu,mihogo ?
Hahahaha, Rafiki hivyo vya Asili ndio vyenyewe sasa,we nikaribishe tu , tena hapo umesahau magimbi Rafiki
Hahahaha, mm vyote tu sawa Rafikiyes magimbi
Haya nitakukaribishia
Au nitakutumia ujipikie au upikiwe
Mkuu, heshima yako sana.
Sorry [emoji120] jirani, hii comment ilijiandika usiku nikiwa mionzi [emoji481] pale Reef One ...[emoji851]
Mkuu Jr hv ni sahihi kweli kwa hii menu unayopiga!? Yan plus matunda humo humo duh si kitambi nje nje hapa! Au mm ndo cjui taratibu za chakula zilivyo!
Hii imepitiliza hata kuitwa mboga saba😀
Tangu mzee Marata aondoke, pale nyama choma haina heshima....[emoji1783][emoji1783]Ulikuwa unakula nyama choma? Maana mpira si bado haujaanza kuoneshwa?
Vyote hivo unachanganya?