wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
EwaaKiburu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EwaaKiburu
That's good
Yes mkuu kwa mikono yangu mwenyew..zinapatikana nyumban..welcomMkuu, heshima yako sana.
Hii kitu niwewe umeiandaa kwa mkono wako??
If Yes....
Je bidhaa zako zinapatikana wapi..??
Hehehe hamna cha sherehe wala nn ..weekend moja hyo nilijipikilishaBest sherehe ya nini hatualikani
Tangu mzee Marata aondoke, pale nyama choma haina heshima....[emoji1783][emoji1783]
View attachment 1477602
Nilikua na wageni ... vyote hivyo mkono wangu[emoji3059]
HahahahaN.B Stori na picha wakuu
Nami naambiwa yupo pale jirani, ingawa sijawahi kufika pia sababu naonaga kama pmenikakia kushoto kimtindo...[emoji851][emoji851]Mi sijatia mguu kuchukua nyama pale tangu mzee aondoke, nasikia yuko pale jirani nami sijaenda hata pale.
Woooww[emoji7]..fanya kweli basi rafikiZawadi kwa Inna kutoka kwangu View attachment 1479068
Rafiki hiyo tafunia kwa juice!Woooww[emoji7]..fanya kweli basi rafiki
Hii ni nn magimbi au? Halafu kachumbari haimenywi maganda Lizzy