atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Dada unapenda chips ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada unapenda chips ww
Mazingira niliyokuwepo yalinifanya nile hivyo siku nyingi.Dada unapenda chips ww
Woooi[emoji7][emoji7]Karibuni late late jamani.
Karibu mdogo wangu daladala kutoka ulipo ni mia 8 kufika hapa 😀Woooi[emoji7][emoji7]
Uko wapi nije???Karibu mdogo wangu daladala kutoka ulipo ni mia 8 kufika hapa [emoji3]
Nkuhungu maa, karibu.!Uko wapi nije???
Nimechoka kula chakula kibaya kila siku
AkhsanteeeNkuhungu maa, karibu.!
Umeolewa?Karibuni late late jamani.
Umeolewa?
Dah nimekuja mbio Pm kukwambia jambo ila kufuri lake mpkan mwa kenya na Tanzania ukasome...Haha hapana mkuu!
Sawasawa maa.Akhsanteee
Weekend ijayo nitakaribia[emoji4]
Dah nimekuja mbio Pm kukwambia jambo ila kufuri lake mpkan mwa kenya na Tanzania ukasome...
Nimeona jambo hapo kwenye chakula chako hivo nilikuwa na ujumbe mzr kkwambia kwa malezi niliyolelewa si vzr kuropoka hapa....Pole, ntalifungua kwaajili yako.
Enheee unanitisha mkuu! Ngoja nikufungulie.Nimeona jambo hapo kwenye chakula chako hivo nilikuwa na ujumbe mzr kkwambia kwa malezi niliyolelewa si vzr kuropoka hapa....
Utanishtua mkuu, ukifungulia nikupe angalizo lako .Enheee unanitisha mkuu! Ngoja nikufungulie.
[emoji120]Sawasawa maa.
Daily unakula nyama mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]kwanini
Jr[emoji769]