Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchicha nimechanganya na karanga
Tamu balaa [emoji39]Inaonekana tamu
Wow!!View attachment 1521229
Breakfast
Raha ya ugali mboga iwe nyingi namna hii[emoji4][emoji108]TulekwaafyaView attachment 1520466
ahahaha! Kumbee eeh
Yahahahaha! Kumbee eeh
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji2956][emoji2956] Tunatiana njaa humu acha tu
Mno[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji2956][emoji2956] Tunatiana njaa humu acha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3590]Karibuni kalmati View attachment 1521809View attachment 1521810na bagia [emoji39][emoji39][emoji39]