Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

[emoji847][emoji847][emoji847]
987609.jpg
 
Hatari sana, kuna watu huwa wa nakuwa vidudu mtu, ukikonda wanasema una ngoma ukiwa na mwili watumia arv, ukiwa kawaida wanasema ana stress na maisha, daah wali mwangu hawana jema!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi napambana kurudisha kilo zangu chache zilizopotea ili nirudi nilipokuwa.
 
Back
Top Bottom