Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Alienda mbali akaweka picha
Na kweli amefaulu zoezi la kupunguza mwili
Nimeona picha yake,tips alizotoa hapo juu kweli zinafanya kazi..nakushauri dada fuata ushauri wake na matokeo utayaona.
Mimi pia nikaweka...kuna raia hawajapenda hii kitu ndiyo maana amefuta kila kitu.
Ila watu bwana kwanini hawajapenda wakati kaelezea kitu kizuri?? Ngoja nimsearch nimPM anielezee uzuri yaani nikifika target sitokuja kunenepaaa tena