Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Hata sio jitihada zangu hizo wifey 🥴🥴 Ila ntamfikishia dada sifa zake🙂🙂Dahh!Mme kwa kupika unatisha sana!😋😋😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sio jitihada zangu hizo wifey 🥴🥴 Ila ntamfikishia dada sifa zake🙂🙂Dahh!Mme kwa kupika unatisha sana!😋😋😋
Home kabisaa yaan daaah, boga afu ndo wakati wake huu.
Hujawahi niangusha dea lol.
Minyoo imeruka kwa nguvu tumboni, hasa hizo njegere.
Huachi kitu wee babuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1702972
Mambo ya site hayo Kama boarding
Jamani mate yamenitoka hapa, nimekumbuka home wallah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naacha vya ndani huwa siliHuachi kitu wee babuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji24][emoji24][emoji24]Lunchtime View attachment 1708269
Breakfast [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Kumekuchaaa [emoji39]View attachment 1709640
Yes bossHiyo pilipili umetengeza mwenyewe
Unakulakula sana lakini hata chura haiwi kubwa!🙂🙂🙂Home kabisaa yaan daaah, boga afu ndo wakati wake huu.
[emoji39][emoji39][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23] we mzee wa chura hebu niache, basi nigawie hao wa kwako unaowafuga lolUnakulakula sana lakini hata chura haiwi kubwa![emoji846][emoji846][emoji846]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Nimesahau nini hapo.View attachment 1709860