Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Kukukuku mlimani city au wapi hapa?
Ni hapo Kukukuku Mlimani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukukuku mlimani city au wapi hapa?
Ewaaaaaaaaaaa upo sahihi kabisaaa[emoji4]Natambua amekulea vyema amekukuza vyema sasa umeivaaaaa
Papai likiiva sasa linatakiwa lichumwe lisije kuozea juu ya mtiEwaaaaaaaaaaa upo sahihi kabisaaa[emoji4]
Ndio upo sahihi ila n mpaka mtu aone umuhimu wa Hilo papai ,haliwez kujichuma lenyewe.Papai likiiva sasa linatakiwa lichumwe lisije kuozea juu ya mti
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sawa sawa akili mingi mwanafalsafa wangu upo juu,Ndio upo sahihi ila n mpaka mtu aone umuhimu wa Hilo papai ,haliwez kujichuma lenyewe.
Over[emoji4][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sawa sawa akili mingi mwanafalsafa wangu upo juu,
Dawa za kwenye mboga za majani hizo. Kama ni mpenzi WA mbogamboga underperformance inakuhusu.😀😀😀
Haya mambo ya underperformance yapo hadi kwa wakondefu siku hizi!
I love you meat.Sema neno moja tu na njaa itakoma.View attachment 1711855
Na typhoid na minyoo.😔😔😔. Mboga mboga hizo ndo hatari kuliko Vumbi lenyewe.View attachment 1714909
Chips Vumbi