Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Looo wanikosha mno na hizi posts za misosi, maana napenda haya mambo, naam napenda vyakula mno!!! Najaza hizi images kwa simu yangu, niwe naziangalia tu...
Yanini utumbo utupwe, wakati wenyewe twalia ndizi!
Morning too 😋😋😋Mmhhh. Good morning View attachment 1733046
Kuna supu ya utumbo flan pale mwenge, na mawasiliano acha kabisaBreak fast ya uswaz View attachment 1735522
Ya kingese sana yale hayo ukiyapata labda uyafate direct wanapokamauaKitu og kabisa mpaka kuna kipovu, mnaokunywa ya kupakiwa vipi mnaenjoy.View attachment 1735612
[emoji39][emoji39][emoji39]
Cha nazi au mawiza? 🤤😋
KaribuUzi mtamu sana
Nazi ya kutoshaCha nazi au mawiza? [emoji1786][emoji39]