Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Jamani chakula kiko wapi?..au ndo hizi mboga za majani na kitoweo cha samaki?
Kidding
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani chakula kiko wapi?..au ndo hizi mboga za majani na kitoweo cha samaki?
Aisee hiki ni chakula gani
Mchicha mix utumboAisee hiki ni chakula ganj
Ooh.. Wow!Mchicha mix utumbo
Ukiwa na njaa halafu upite huku utauona mbaya mkuu [emoji1787]Uzi mtamu sana
Ubwabwa upo kwenye oven. Kdg tu. Mboga kwa wingiJamani chakula kiko wapi?..au ndo hizi mboga za majani na kitoweo cha samaki?
Kidding
Bhagia jamani! 🤤😋🤗
Izo Ni eggchops. Unakata zinakuwa na muonekano huoBhagia jamani! [emoji1786][emoji39][emoji847]
Hizi ndio badia. Za unga wa dengu. [emoji39]Bhagia jamani! [emoji1786][emoji39][emoji847]
MumekuchaaView attachment 1736349
Hii upigie sandwich na boflo, na chili kwa mbaaaali! 🤣 😋Izo Ni eggchops. Unakata zinakuwa na muonekano huoView attachment 1736320
Oh, nimezipata sasa!Izo Ni eggchops. Unakata zinakuwa na muonekano huoView attachment 1736320
Hizi ndio badia. Za unga wa dengu. [emoji39]View attachment 1736348
Alafu kuna zile type ingine, ndio huwa bombardier kwangu, yaani wacha tuHizi ndio badia. Za unga wa dengu. [emoji39]View attachment 1736348
Afya tupuZa kuchemshwaView attachment 1731920
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Bombardier [emoji1787]Alafu kuna zile type ingine, ndio huwa bombardier kwangu, yaani wacha tu