Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Ni moja ya vitu vinavyozuia cancer. Chagua Kati ya amoeba au cancer.Mkuu nyanya hizo wanasemaga zinasababisha amoeba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni moja ya vitu vinavyozuia cancer. Chagua Kati ya amoeba au cancer.Mkuu nyanya hizo wanasemaga zinasababisha amoeba
How?..zikioshwa vizuri je?.Mkuu nyanya hizo wanasemaga zinasababisha amoeba
Wanasema zikiwa mbichi kama hivyo zinakuwa na hivyo vimelea kwa hiyo sio salama sanaHow?..zikioshwa vizuri je?.
Matunda na vitu vingine vya kula bila kucheshwa vinaweza kuwa navyo..ishu ni kuosha vizuri.Wanasema zikiwa mbichi kama hivyo zinakuwa na hivyo vimelea kwa hiyo sio salama sana
Wewe si ni wife matirio kabsa jamanAljumaa Mubarak [emoji109]View attachment 1808084
There are many health benefits of eating raw tomatoes, which have antioxidant and anticarcinogenic effects and can also help regulate blood sugar, cholesterol and weight. Manufaa ni mengi ukila kwa kiwango kinachohitajika. So ni salama.Mkuu nyanya hizo wanasemaga zinasababisha amoeba
Diet inaendeleaje?
So far so good.Diet inaendeleaje?
Mchemsho vitu afya tele, duh😋
Leo mualiko wapi? Au buffet tu la kawaida?View attachment 1809087
tuendelee kula
Leo mualiko wapi? Au buffet tu la kawaida?
[emoji39] u mpishi mzuriii.View attachment 1809087
tuendelee kula