kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Hapa kuna zaidi ya uchokozi😋😋😋
View attachment 1815581
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kuna zaidi ya uchokozi😋😋😋
View attachment 1815581
Ohoooo ..Sio kweli.[emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1815581
Sisi wa kazi za kuchosha akili pia menu ni hii? 😂 😂 😂Kunywa kwanza dawa ya kusafisha tumbo ukae siku moja then unywe dawa ya minyoo.
Dawa ya kusafisha tumbo zipo za kienyeji kama huku kwetu umasaini kuna lodwaa au mukutan (hii mukutan usitumie mswahili unaweza kufa 😂). Au za kisasa tumia castor oil. Dawa za minyoo zipo nyingi.
Maji ya kunywa unachanganya na apple ciser vinegar kijiko cha chakula kwa kila glass. Pia maji unakunywa kwa wingi ili usished water weight uwe una loose fat.
Diet unakula low carb food na fruits mara mbili kwa siku asubuhi na jioni/usiku ila angalau iwe ni masaa manne kabla ya kulala. Unaweza ku refer kwenye picha zangu za last week kuona aina ya vyakula unavyotakiwa. Then kula kwa kiasi sio unakula kumaliza.
Kuhusu mazoezi unafanya cardio mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kila siku angalau kwa dakika 45. Ukiweza kufanya jogging na kuruka kamba itasaidia zaidi. Jogging unaweza kufanya kwa mtindo wa ku sprint kwa dakika moja then una jog dakika mbili then una sprint tena dakika moja unarudia hiyo sequence kwa dakika 20 hadi 30. Hii ufanye angalau mara moja ila kama unaweza ufanye asubuhi na jioni.
Kumbuka kuwa cardio/aerobics ni lazima hata kama utakuwa umefanya hii ya high intensity.
Ukimaliza week moja usikimbilie kula high carb foods angalau kwa siku 7 nyingine.
Samaki kipande kimoja kwa mlo mmoja kiwe 140grams kama unaweza kupima ila kama huwezi basi kiwe kidogo tu sio mpande mkubwa. Nyanya mbili medium size. Pia kumbuka vyakula vyako hutakiwi kuweka chumvi wala mafuta.
Picha sina ngoja kuna mtu nimuombe anitumie maana nilimtumia. Akituma nitaweka.
Usipo cheat hapo hata siku moja matokeo lazima yawe chanya. Yani lazima ufanikiwe kwa zaidi ya asilimia 80.
Day 1.
View attachment 1814493
Day 2.
View attachment 1814496
Day 3.
View attachment 1814498
Day 4.
View attachment 1814499
Day 5.
View attachment 1814502
Day 6.
View attachment 1814504
Day 7.
View attachment 1814506
Kwa mabadiliko zaidi, ka karibu na AC😬😬😬nikila hivi naweza kuzimia kwa kutetemeka na njaa
Nala kila kitu hapa! 😬😋😋😋
View attachment 1815581
Home is best![emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1815480
tunaendelea kula
Chakula na cha kuliwa[emoji41][emoji1550][emoji1550][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1815581
Nala kila kitu hapa! 😬
🤣🤣🤣Ohoooo ..Sio kweli.
Hapo samaki tupa kuleee! Nakunywa maziwa kwanza! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Chakula na cha kuliwa[emoji41][emoji1550][emoji1550]
Mimi naanza na samaki kisha nashushia na nido[emoji3]Hapo samaki tupa kuleee! Nakunywa maziwa kwanza! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Manyonyo nayo yataka kula [emoji1787][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1815581
Mmhh. Ndio utakuwa huanzi ivo. Na kesho pia utasema ivo ivoView attachment 1815704
Namalizia kabla sijaanza diet[emoji28]
That's bad craving dearMie hapa tu.
Kila siku husema nile vya mwisho mwisho kabla kuacha lkn wapi. Kesho yake nikiamka tu craving tayari [emoji24]View attachment 1815990