Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja ya kitu napenda
Hiyo katika bakuli kwangu ni bomu, yaani itakuwa kila baada ya dakika tano nakimbilia chumba cha mwisho kushoto halafu bila hata leseni
Hii inaitwa jelebiPale Teknologist anapopika chapati za kitecholojia![emoji124][emoji124][emoji124]
Duh😬Hiyo katika bakuli kwangu ni bovu, yaani itakuwa kila baada ya dakika tano nakimbilia chumba cha mwisho kushoto halafu bila hata leseni
😂 😂 😂Hii makitu mtu aone tu, kukiwa na mchicha au samvu naweza tambaa na ndoo nzima ugali,maji nyagi.
Kesho tukionana wala sio mimi
Protein 🤣🤣🤣View attachment 1843187
Hakitupwi kitu apa
Chapati hio au
Ndio mkuu, moja inatosha kabisa hapo! 🤣 🤣Chapati hio au
Kwani jelebi au pancakes hizo?Hii inaitwa jelebi
Kwani jelebi au pancakes hizo?