Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Hivi chief chapo maana yake nini?Chapo mraruko... [emoji23]
View attachment 1876704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi chief chapo maana yake nini?Chapo mraruko... [emoji23]
View attachment 1876704
Wewe! Si ulikataa si kaka yako!? Naendelea kutafuta Paka!Kwahiyo Kumbe nivunje tu ukaka.
Kaka gani haumsikilizi mdogo wako[emoji38]
Ukifika mtumbani unapokelewa kama hivView attachment 1878130
KahawaHizi ni nini?
Viinega,soy source,hilal moto na chumvi basiiUmewaweka viungo?
Mbuzi na choma kwa kutumia chumvi tuUmewaweka viungo?
Chief mimi si mtaalam sana wa kuchoma mbuzi, lakini nikitaka kuchoma mbuzi vizuri nafanya ifuatavyo, naanza kwa kuchoma kwa moto wa kawaida kutumia tangawizi na chumvi hadi akishawiva lakini asikauke sana. Baada ya hapo pembeni naandaa tangawizi ya kusaga kama rojo rojo naweza ichanganya na chumvi sio nyingi sana. Sasa ile nyama ambayo imeshawiva naipasua kuweka michirizi na kupaka huo mchanganyiko na kurudishia kwenye moto mdogo mdogo, kama ni yale majiko ya kufunika nafunika kama dakika 5 - 10 hivi! Balaa la hapo [emoji39][emoji39][emoji39]Mbuzi na choma kwa kutumia chumvi tu
[emoji15][emoji15][emoji15] Joline Kato hivi ulishaolewa vile...![emoji2365][emoji2365]Skeleton [emoji1637]View attachment 1878876
mbona kama umeshtuka hivi[emoji23][emoji23]kaa kwa kutulia tuelewane vizuri,umeuliza nn ati!?[emoji15][emoji15][emoji15] Joline Kato hivi ulishaolewa vile...![emoji2365][emoji2365]
Nimeuliza hivi wewe ni Rugemalila, au Kyaruzi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]mbona kama umeshtuka hivi[emoji23][emoji23]kaa kwa kutulia tuelewane vizuri,umeuliza nn ati!?
[emoji38][emoji38]mimi ni wote,both a NA b NI correct.Nimeuliza hivi wewe ni Rugemalila, au Kyaruzi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
8 405 1235[emoji38][emoji38]mimi ni wote,both a NA b NI correct.
Huo mwingine wote ni utani tu! Nilishangaa pamoja na kulike ile creative ya skeleton! Iko good[emoji1474][emoji1474][emoji1474][emoji38][emoji38]mimi ni wote,both a NA b NI correct.