Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Jamani msiniongezee sana hata 68kg sijafika. [emoji3061][emoji3061]
Unaweza kuwa 68kgs na ukawa Big Momma! Maana nikiona hiyo mikono yako huwa nahisi mapigo ya moyo yanaongezeka kasi! [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
20210801_182306.jpg
20210801_181815.jpg
20210803_134149.jpg
 
Kabisa! 😂 😂 😂
Ukijakuta kapika wema sepetu alafu hajapika kabandika picha tu huku mwajuma ndo mpishi.
We ushahonga Range.
Yule jamaa sijui km anaendelea kuuza vihepe.
Mkija mjini mpige honi angalau
 
Back
Top Bottom