Yna aika
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 350
- 1,022
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu naeMiddle. Tuonane usikuView attachment 1951988
Hakiungui ni caramelized onion.
Inaunguzwa brown sugar unatupa vitunguu ndani unazungurusha maji kidogo ewaa then tupia popote.kuku ,samaki,pork
Karibu kiongoziMembers habari zenu niliwamiss sana, kiufupi majukumu yalinikeep bize kiasi kwamba sikuwa naingia humu, tuko pamoja! [emoji1474][emoji1474][emoji1474]
Naja naja
wahi kabisa na chapati mchambuko 🤣Naja naja
Dah [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1960162
Karibuni tupate kifungua kinywa!
Ongeza ugaliUgali wa asubuhi[emoji39]View attachment 1960001
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Ama kwa hakika Daslamu sio Mbeya.
Mambo matamu, itabidi uje 001 tutoe kitu ka hichi...😂
Karibu tule mkuu.Mambo matamu, itabidi uje 001 tutoe kitu ka hichi...😂