Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Acha uongo..Ningeona sahani iliyojaa maparachichi na njegere.[emoji23]
Nipo Mbeya mkuu View attachment 1960719
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo..Ningeona sahani iliyojaa maparachichi na njegere.[emoji23]
Nipo Mbeya mkuu View attachment 1960719
Huwa sili tambi na parachichiAcha uongo..Ningeona sahani iliyojaa maparachichi na njegere.
Pia sahani pendwa za mbeya nimezikariri.Huwa sili tambi na parachichi
😂😂😂Pia sahani pendwa za mbeya nimezikariri.
Mwana ugali na pili pembeni tutaenda sawaChamchana kiandaliweView attachment 1960156
Ni kweli unavutia hasaHuu Mlo unavutia sana.
![]()
Kama ni mimi naweka Kijiko pembeni, hapo ni mwendo wa Matonge.
Maana halisi ya mchuzi wa supu
Hapo upate na kipande cha tikiti baridii
Napenda sana huo msosi
Karibu mkuuNapenda sana huo msosi
Hilo parachichi [emoji39]
Ndio Dadangu, ni parachichi, huwa sipendi yale yameiva sana, kwa hiyo hapo ni mwendo na kakijiko kadogo unakwangua mpaka mwisho....Hilo parachichi [emoji39]
Limenitamanisha..nakula kwa macho.Ndio Dadangu, ni parachichi, huwa sipendi yale yameiva sana, kwa hiyo hapo ni mwendo na kakijiko kadogo unakwangua mpaka mwisho....