Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,444
- 8,769
Pilau la kenya🤤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZuriPilau la kenya🤤
View attachment 2016776
Hoooraaay! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Nina muda mrefu sijautia kinywaniUgali wa Muhogo kwa Chukuchuku ndiyo Mboga yake, mbona udenda unanichuruzika hapa yaani nimetoa Ulimi kama Mbwa.
![]()
😁😁Nipo Dar sasa, wapi naweza kuja niuone huo mkono live!? [emoji39][emoji39][emoji39]Hoooraaay! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Wewe sawa na mimi ni miaka mingi imepita sijautia mdomoni, kwa kweli nina hamu sana ya Ugali wa MuhogoNina muda mrefu sijautia kinywani
We ukiwa Rais, mlinzi wako atapata tabu sana.. [emoji23][emoji23]
Safi sana.
![]()
Hahhaha kwanini
Kama hutojali njoo PM[emoji2365][emoji2365][emoji2365][emoji16][emoji16]
Ukifika Mbagala Rangi 3 niambie nije kukupoke [emoji846]