Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukila hivi walau kwa mwezi mmoja una uhakika wa kutoa kg ngapi? Nataka nijaribu kujilipuaDinner yesterday View attachment 2018687
Sina uhakika. Ila utatoa tu zakutosha maana inategemea pia na workouts kama unafanya.Hivi ukila hivi walau kwa mwezi mmoja una uhakika wa kutoa kg ngapi? Nataka nijaribu kujilipua
Nitajaribu nione..Sina uhakika. Ila utatoa tu zakutosha maana inategemea pia na workouts kama unafanya.
Naanza january maana hichi kitambi kinanikimbiza sana ila hapo kwenye mboga za majan ndomtihaniDinner yesterday View attachment 2018687
Ukitaka kufanya jambo ni vizuri ukaanza pale pale. Ukisema utaanza January ikifika utasema tena ngoja nianze baada ya Pasaka. Hautakaa uanze.Naanza january maana hichi kitambi kinanikimbiza sana ila hapo kwenye mboga za majan ndomtihani
December ni spoiling month aisee ngj nivutevute kidogoUkitaka kufanya jambo ni vizuri ukaanza pale pale. Ukisema utaanza January ikifika utasema tena ngoja nianze baada ya Pasaka. Hautakaa uanze.
Anza sasa.
Hahaha all the best. Umeona kuwa huwezi kuacha marotarota ya December yakupite sio?December ni spoiling month aisee ngj nivutevute kidogo
Aki siezi yaacha but january ntakua na focus nzuri na ntaiga humuhumu kwenye pics zakoHahaha all the best. Umeona kuwa huwezi kuacha marotarota ya December yakupite sio?
Sawa kila la heri.Aki siezi yaacha but january ntakua na focus nzuri na ntaiga humuhumu kwenye pics zako
Kitambi kimeshaanza kuwa kile cha kumwagika?..Naanza january maana hichi kitambi kinanikimbiza sana ila hapo kwenye mboga za majan ndomtihani
Tuanze leo..December tueke cheat days tu[emoji23]Naanza january maana hichi kitambi kinanikimbiza sana ila hapo kwenye mboga za majan ndomtihani
Kabisa..tomorrow never comes. Naanza kula kama hivyo nitaleta mrejesho hapa January maombi yenu tafadhaliUkitaka kufanya jambo ni vizuri ukaanza pale pale. Ukisema utaanza January ikifika utasema tena ngoja nianze baada ya Pasaka. Hautakaa uanze.
Anza sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii ntacheat sana bhana haitonoga hata kidogo join me jan,tukipiga mwezi mzima nauwakika tutafikia lengoTuanze leo..December tueke cheat days tu[emoji23]
Afu kimemwagika vibaya yaani[emoji3][emoji3]i will n mustKitambi kimeshaanza kuwa kile cha kumwagika?..
If so anza kuburn hayo mafuta mara moja.