Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kushiba kweli hapa🤣🤣🤣
Ndege John tunakula huo msosi pendwa huku kwetuMnakulaga njugu?View attachment 2118044
Mie sijala ya nje ya hapa....Alafu mbona kfc ya huku ina taste tofauti na ya sauz
Sijawahi 🥴🥴Mnakulaga njugu?View attachment 2118044
Ya nje ndio tamu banaMie sijala ya nje ya hapa....
Ipi tamu zaidi???
Nzuri Sana naimani utazpenda zinaliwa Sana kwenye makandeSijawahi [emoji3061][emoji3061]
Ladha yake ikoje??
Hii kitu inanitesa sana, kila siku huwa nafikiria kwenda KFC lakini huwa najiuliza hapo kwenye ladha, je vyakula vya KFC Tanzania viko sawa na KFC SA?Alafu mbona kfc ya huku ina taste tofauti na ya sauz
[emoji1474][emoji1474][emoji1474]Ya nje ndio tamu bana
Chambo ya warembo hiyo