Sio mirinda nyeusi ya baridiiiiiMje na fanta pineapple.View attachment 2118669
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mirinda nyeusi ya baridiiiiiMje na fanta pineapple.View attachment 2118669
Basi I can't wait....ntakupa feedback March & July 🙂Ya nje ndio tamu bana
Owwwkey! Ngoja ntajaribu siku nikizikuta mahali.Nzuri Sana naimani utazpenda zinaliwa Sana kwenye makande
Utakataa kirudi maana tamu balaa alafu onja pia na chips za mcdonalds...they are the bestBasi I can't wait....ntakupa feedback March & July 🙂
Wee unaenda kwenye mashindano ya umiss ni i mbona wala kidogo sana?
😁😁 ngoja tuone.Utakataa kirudi maana tamu balaa alafu onja pia na chips za mcdonalds...they are the best
If only.....Wee unaenda kwenye mashindano ya umiss ni i mbona wala kidogo sana?
Piga squats planks and skip ropeIf only.....
Mwili wenyewe hata hauna adabu unaendelea kunona tu 😬😬😬
I do 🥴🥴Piga squats planks and skip rope
Basi hapo ni battle dhidi ya geneticsI do 🥴🥴
Mi nazipenda ila niliShindwa kula kama ndo mboga ya kula na ugaliNjugu Mawe kwa chapati.
Safi sana
Sijawahi kula kama mboga ya Ugali, nilizokula mimi ni hizo za kuungwa na Nazi ambazo unaweza ukalia na Chapati, Maandazi, nk, au za kuungwa na Nazi unakula tupu wanaweka SukariMi nazipenda ila niliShindwa kula kama ndo mboga ya kula na ugali
Harufu hii senene, dagaa au uduvi mate yanani mwagika kwa uroho!
Mwake mwake mkuu