Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

1647378288070.png
 
Wanaounguza Chakula inatakiwa waanzishiwe sredi yao 🤣🤣🤣🤣🤣
Hakijaunguzwa hiyo ni smoke BBQ.
Kuni na moshi mwingi hata majani inabidi vitumike then unaåata hiyo rangi na ladha unaweka mwenyewe kabla hujadumbukiza kwenye tanuru.
Day one marination
Day 2 smoking.👍
Ukiwa.na haraka masaa 24 tu una piga process zote ila inabidi uwe kama dereva wa fiat ni kufyatua gia tu.ukibugi kidogo tu inakula kwako.
Na siku hizi kuna Gas grill,unatupia kuni tu inatoa hiyo masaa 6-12 mengi.
 
Back
Top Bottom