Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Tembele limeungwa hadi nimelisahau..[emoji4][emoji4][emoji4]
Matembele.
Hongera mrembo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tembele limeungwa hadi nimelisahau..[emoji4][emoji4][emoji4]
Matembele.
Vibua hao au makreel ,dar wapo mpaka wa kichina ukitakaHivi hawa samaki si ndo wanaoitwa Nembe? kwa wakazi wa kanda ya ziwa wanawajua vizuri
Mke hapa tutafika kweli yukiraini😁
Tarajia wageni wengi sanaZe nguna ime be ngunwad by me, ze pochocho ime be pocholewad bai mi.
Ze msosi izi so switi, bati donti welkam tu it my nduguz, cz ze msosi unanitosha mwenyewe,
Ukweli humuweka mtu huru. [emoji23][emoji1787]View attachment 2156625
Wanakaribishwa.. Mkeka wangu wa kulalia ni mkubwa saana, una nafasi ya kutosha.Tarajia wageni wengi sana
🤣🤣🤣Mke hapa tutafika kweli yukiraini😁
Picha Kali Sana👍
Aah kabisa andaa mbeleko tu😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Si upo....utanibeba ikibidi 😁
Wow!! thanks so much.Tembele limeungwa hadi nimelisahau..
Hongera mrembo.
[emoji23] utaweza tu ukiamuaView attachment 2157925
Kambi popote....
Instructor kaniambia niache kula red meet, ndio nimeagana nayo leo.....[emoji20][emoji20]
Natumai vita nitaiweza na kuishinda...[emoji4].
[emoji23] utaweza tu ukiamua