Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20220616_074047.jpg
 
Nahisi nilizidisha moto wa chini. Maana ilitoka chini imeungua kama mkaa 🤣. Ila juu Sasa nzurii. Hadi birthday ya mwanangu ikaharibika, Kwa kujifanya ujuaji. Ningeenda nunua hata yasingenitokea 😅🙆
Pole
Baadaye utaweza.

Mimi siku ya kwanza kupika nilizidisha blueband..nilichochea ile keki usiku kucha ,,ikawa inachemka tu kama chemchemi.
 
Back
Top Bottom