Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20220824_210640.jpg
 
Wazee nimefungua restaurant kariakoo hapo, mtaa wa muheza karibuni mniunge mkono ndugu zangu, si lazima kujitambulisha unaweza fika ukapiga msosi ukaondoka, ukiona si mbaya kujuzana si mbaya tukachekiana kama nitakuwepo(sikai saana hapo) ofisini tupige stori mbili 3, JamiiForum ni familia
Hongera sana mkuu, lazima nifike siku moja 😋💪
 
Back
Top Bottom