Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ushwahi kuingia Serrena mkuuYah nilimaanisha hayo maandazi yana nn cha ajabu had yauzwe hio bei ?
[emoji39][emoji39]View attachment 2413258
Cha Baba mwenye nyumba?
Kiongozi.
Safi sana.
upo vizuri sana kuona na kweli haijachemshwa sana kidogo tu kupata ule mvukeSafi sana.
Mboga ya majani haitakiwi ichemshwe sana
ukichemsha sana unaharibu vile virutubishoupo vizuri sana kuona na kweli haijachemshwa sana kidogo tu kupata ule mvuke
na inakua ina ladha nzuri sanaukichemsha sana unaharibu vile virutubisho
burger la pweza hahaha
[emoji119][emoji119][emoji119]