Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nikipika Tena nitakuletea😂Mungu anakuona ujue wee haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasahivi nataka nianze kujifunza kupamba
Kwahiyo nitakuwa napika mara kwa mara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikipika Tena nitakuletea😂Mungu anakuona ujue wee haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HongeraSure,naona improvement.
Nikipata oven na mixer nitatamba.
Nataka nijifunze kupamba.
Uhakika..kama pie vile 22/7[emoji23]
Hivi ulisema utanifungulia eeh?
mwisho wa mwezi sio mzee
Sijawahi kula hii. Kwani Ina taste gani?
Mitajaribu weekend. Nime tamanNi tamu sana mkuuu na maziwa pembeni jaribu siku moja sema utafute zile tambi za santa lucia ndio tamuu na mayai yako ya ata matatu.[emoji119]
Naisubiri kwa hamu, leo mpaka nimeota napika keki eti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikipika Tena nitakuletea[emoji23]
Sasahivi nataka nianze kujifunza kupamba
Kwahiyo nitakuwa napika mara kwa mara.