Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Dah.. Kaka pale kuna fitna zilipita nikapafunga, sipo tena. Nahisi kuna mtu alizunguruka kwa mwenye eneo lake.
Pole sana mkuu huna mpango wa kufungua mahali pengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah.. Kaka pale kuna fitna zilipita nikapafunga, sipo tena. Nahisi kuna mtu alizunguruka kwa mwenye eneo lake.
Nina plan ila kwa sasa mambo ni shaghala bagala kaka, kuna matukio yamefuatana kiasi sasa hivi napumulia mipira mkuu.Pole sana mkuu huna mpango wa kufungua mahali pengine
Nakuja hapo, tester mwenye degree zangu. 😂Karibu [emoji38]View attachment 2497332View attachment 2497333
[emoji23][emoji23]Nakuja hapo, tester mwenye degree zangu. [emoji23]
Nakuja na uzi wa liverpool 2004/2005 mgongoni nimeandika MAKAVELI Jr.
Nina plan ila kwa sasa mambo ni shaghala bagala kaka, kuna matukio yamefuatana kiasi sasa hivi napumulia mipira mkuu.